mtotoMara nyingi wazazi wanapotengana huwa tunashuhudia mabishano ya nani anatakiwa kukaa na mtoto. Ni mama au baba. Kwa suala hilihili wapo watu wako mahakamaniKila mtoto amefungika na ‘Aqiyqah yake, itachinjwa kwa ajili yake siku ya saba na atapewa jina, na atanyolewa kichwa chake (Ahmad na An-Nasaaiy). Kwa ajili ya shughuli hiyo ni lazima